Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
Msaada tafadhali.wakuu habari, wenye ujuzi kuhusiana na biashara hii ya ku print flyers,posters,labels, packaging , bronchures,outdoor banners na mabango ya matangazo ya aina zotenaomba afunguke hapa kwa manufaa ya wanajukwaa faida , changamoto na hali ya sasa ya kibiashara na teknolojia ya sector hii na mbinu kadha wa kadha za kumwezesha mfanyabiashra kutusua katika hii industry ya matangazo.
Mawazo yazidi kumiminika wakuuwakuu habari, wenye ujuzi kuhusiana na biashara hii ya ku print flyers,posters,labels, packaging , bronchures,outdoor banners na mabango ya matangazo ya aina zotenaomba afunguke hapa kwa manufaa ya wanajukwaa faida , changamoto na hali ya sasa ya kibiashara na teknolojia ya sector hii na mbinu kadha wa kadha za kumwezesha mfanyabiashra kutusua katika hii industry ya matangazo.