Biashara ya Printing , publishing adverts

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
398
Reaction score
706
wakuu habari, wenye ujuzi kuhusiana na biashara hii ya ku print flyers,posters,labels, packaging , bronchures,outdoor banners na mabango ya matangazo ya aina zotenaomba afunguke hapa kwa manufaa ya wanajukwaa faida , changamoto na hali ya sasa ya kibiashara na teknolojia ya sector hii na mbinu kadha wa kadha za kumwezesha mfanyabiashra kutusua katika hii industry ya matangazo.
 
Kwa sasa hio biashara imeshuka sana, zamani shughuli mbali mbali za serikali zilikuwa na mabango, tishet na kofia, shule za msingi fulana, zote hizo zimesitishwa hivyo kuwapa wakat mgumu kibiashara. Pia TRA kudai kodi kwa mabango kumechangia sekta binafsi nayo kupunguza uchapishaji wa mabango.
 
wakuu habari, wenye ujuzi kuhusiana na biashara hii ya ku print flyers,posters,labels, packaging , bronchures,outdoor banners na mabango ya matangazo ya aina zotenaomba afunguke hapa kwa manufaa ya wanajukwaa faida , changamoto na hali ya sasa ya kibiashara na teknolojia ya sector hii na mbinu kadha wa kadha za kumwezesha mfanyabiashra kutusua katika hii industry ya matangazo.
Msaada tafadhali.
 
Mawazo yazidi kumiminika wakuu
 
Back
Top Bottom