Biashara ya Pumba ya Mahindi

A man with no name

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,574
Habari za muda huu wanajukwaa,

Naomba kama kuna mtu anayo pumba ya mahindi au anafahamu wapi inapatikana kwa wingi naomba anifahamishe
Naitaji Pumba ya mahindi yenye sifa hizi

[emoji666]Nyeupe isiwe imevunda
[emoji666]iwe imekauka kabisa isiwe na unyevu unyevu
[emoji666]iwe na chakula cha kutosha

Kilo nanunia kwa shilingi 200 maongezi yapo pia. Kama uko nayo naomba uje pm tufanye biashara.

Niweka uzi wa kwanza naona umetolewa sijui tatizo ni lipi ila naomba Moderator msiutoe tena uzi huu.

Karibuni kwa mjadala
 
Naomba namba zako au njoo pm tufanye biashara.
 
Pumba kwa sasa kwa hapa Dar imepanda bei ndugu, gunia ni sh 21000 wastani wa debe 7. Hivyo hapo bila tsh 310 huwezi kupata pumba yenye kiwango.
 
Nilifanya reseach kuwa nikiwa na mtj wa ml 5 naweza nikaingz ml 5 faida ndani ya miez 4 nikiwekeza kwenye nguruwe..
 
Kama una ml 2 na mimi naweka mbil tufanye hyo kazi nguruwe ina lipa na soko lake lipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…