Biashara ya Pumba ya Mahindi

Eneo
Mabanda
Vipo au tunatakiwa kutafuta mkuu
Eneo mabanda vipo..ni yakuongeza kama mtu ukiweka project mkianza na nguruwe let say 50 kila mmj anauzwa sh.60,000 wa mwez mmj inakuwa lak 3 then unanue pumba gunia 80 @20 sawa na sh.1600,000 prapertion ya mabanda tuseme lak 4 hapo tuwafuge kwa miez 5 wawe na kl 30 kila mmj ukija kuuza kwa kg sh.7000 nguruwe 50 sawa na kg 1500 × 7000 ml 10500,000 utoe trasport kila nguruwe sh.15000 = sh.750,000 hapo kama umeivest ml 3 unapata mar 2 yake hesbu za haraka hzo
 
Unaweza nipa namba zako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…