Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wazo zuri mkuu je kuna uhakika wa soko na wanafugiwa wapiKuchinja tunsafrisha kwa kl sh.7000
Mkuu mbona umekuwa kimyaKufuga2 mwika
pambana na hali yako,,bei yako hailipi kabisa yani hata kama muuzaji yupo mkoa mmoja na wewe.Ndg mimi nipo moshi nimesema kilo nanua kwa 200 ila hata wewe ukiniambia unapopatikana pia naweza fuata mzigo mwenyewe
pambana na hali yako,,bei yako hailipi kabisa yani hata kama muuzaji yupo mkoa mmoja na wewe.
Kiongozi mambo vpKuchinja tunsafrisha kwa kl sh.7000
450Wewe bei yako ni ipi mkuu
Eneo mabanda vipo..ni yakuongeza kama mtu ukiweka project mkianza na nguruwe let say 50 kila mmj anauzwa sh.60,000 wa mwez mmj inakuwa lak 3 then unanue pumba gunia 80 @20 sawa na sh.1600,000 prapertion ya mabanda tuseme lak 4 hapo tuwafuge kwa miez 5 wawe na kl 30 kila mmj ukija kuuza kwa kg sh.7000 nguruwe 50 sawa na kg 1500 × 7000 ml 10500,000 utoe trasport kila nguruwe sh.15000 = sh.750,000 hapo kama umeivest ml 3 unapata mar 2 yake hesbu za haraka hzoEneo
Mabanda
Vipo au tunatakiwa kutafuta mkuu
Unaweza nipa namba zako mkuuEneo mabanda vipo..ni yakuongeza kama mtu ukiweka project mkianza na nguruwe let say 50 kila mmj anauzwa sh.60,000 wa mwez mmj inakuwa lak 3 then unanue pumba gunia 80 @20 sawa na sh.1600,000 prapertion ya mabanda tuseme lak 4 hapo tuwafuge kwa miez 5 wawe na kl 30 kila mmj ukija kuuza kwa kg sh.7000 nguruwe 50 sawa na kg 1500 × 7000 ml 10500,000 utoe trasport kila nguruwe sh.15000 = sh.750,000 hapo kama umeivest ml 3 unapata mar 2 yake hesbu za haraka hzo