Biashara ya real estate tanzania

Biashara ya real estate tanzania

mkuu ... hapa kuna mawili ..... la kwanza ni upande wa wateja wa real estate; kitu kikubwa kinachowawezesha wateja wa nyumba especially residentials ni system ya mortgage finance , sasa hapa kwetu TZ ndiyo inataka kuanza .... pili serikali imekuwa na very poor strategic plan kwenye idara ya urban planning, hakuna future planed towns, suburbs, townships and sub areas ambazo zipo in proper survey and with proposed infrastructures (water & electricity, transport;trains and roads, hospitals, markets, sports etc) ..... miji yote Tanzania imejaa na sehemu nyingi za miji tena mikubwa kama Dar (manzese) utakuta ni unsurveyed,

hivyo basi lazima uwe na enough resources ukachukue ardhi kubwa nje ya miji ,manispaa au majiji halafu ufanye township/suburb planing pamoja na infrastructures zake ndipo ujenge nyumba, apartments, shops, malls and offices for lease/rent or for sale..... au ununue viwanja kwenye ready developed satelite cities if you like in which the chance is very narrow for now due to small number of lots and high competition (kama vile vya Luguruni: wahindi ndio wameula pale)

you need big lot of money my bro ..! good business

unless otherwise i wish you all the best ....

Kaka mbona una complicate sana mambo? Kwa jinsi maelezo yako yalivyo complicated, nakubaliana na maneno ya mtu mmoja mwenye hekima, alisema " I WILL ALWAYS CHOOSE A LAZY PERSON TO DO A DIFFICULT JOB. BECAUSE HE WILL FIND AN EASY WAY TO DO IT ". Mtu anataka kuanzisha REALESTATE BUSINESS unatoa masharti yote hayo kaka? Do u realy know what business is? ( Not Alone Real Estate Business? )...

Coming back kwa mtoa uzi. Do the following. 1.Be Legal ( Registar ur biznez, licence & T.R.A ) . 2. Tafuta ofisi ( kama una mtaji mdogo unaweza kuanza hata na ki frame /Kama mtaji ni mdogo sana, unaweza kuifanya ukiwa nyumbani kwako ) 3. Tafuta watu wanaouza nyumba, mashamba na wanao pangisha nyumba na vyumba. ( Kama mtaji wako ni mdogo, nakushauri uanze na vyumba vya kupangisha... 4. Ukishapata at leat vyumba kuanzia kumi, jitangaze,( unaweza kuanza kwa kutangaza mitandaoni ). U will get a lot of customers. ( WATEJA HUWA NI WENGI KULIKO BIDHAA )..Unaweza kuanzia hapo, mambo mengine utayafahamu ukiwa kwenye biznez tayari.
 
Great....!!
 
wakuu katika pita pita yangu ya hapa na pale katika maisha nilikuwa nafikiria mara mbili mbili kuanzisha biashara ya real estate hapa tanzania mimi naona ni biashara ambayo inalipa kama mtu ukiwa serious sasa kwa kuwa hapa naamini ni home oof great thinkers nikaona nifikishe proposal hapa tuone kama kuna uwezekano wa mm kuanzisha na jinsi biashara inavyolipa, cost zake, budget yake ya biashara n.k..
Biashara ya real Estate ni biashara yenye wigo mkubw sana,,, Binafsi naifanya biashara hiijapokuwa katika kiwago cha chini kidogo na ninaendelea kukua katika biashara hii,,,, kwa sasa nimenunua maeneo, nimeyapimisha na nauza viwanja sasa. Oili nimeanza kujenga nyumba ambazo baada nitazipangisha au kuuza kabisa
 
mkuu namimi nataka kuanza hii ndo nipo kwenye mchakato wa kupima heka 18 kuwa viwanja.nafikiria kufungua kampuni ili viwe chini ya kampuni,je vyako uliuza kama kampuni au mtu binafsi
 
Kaka mbona una complicate sana mambo? Kwa jinsi maelezo yako yalivyo complicated, nakubaliana na maneno ya mtu mmoja mwenye hekima, alisema " I WILL ALWAYS CHOOSE A LAZY PERSON TO DO A DIFFICULT JOB. BECAUSE HE WILL FIND AN EASY WAY TO DO IT ". Mtu anataka kuanzisha REALESTATE BUSINESS unatoa masharti yote hayo kaka? Do u realy know what business is? ( Not Alone Real Estate Business? )...

Coming back kwa mtoa uzi. Do the following. 1.Be Legal ( Registar ur biznez, licence & T.R.A ) . 2. Tafuta ofisi ( kama una mtaji mdogo unaweza kuanza hata na ki frame /Kama mtaji ni mdogo sana, unaweza kuifanya ukiwa nyumbani kwako ) 3. Tafuta watu wanaouza nyumba, mashamba na wanao pangisha nyumba na vyumba. ( Kama mtaji wako ni mdogo, nakushauri uanze na vyumba vya kupangisha... 4. Ukishapata at leat vyumba kuanzia kumi, jitangaze,( unaweza kuanza kwa kutangaza mitandaoni ). U will get a lot of customers. ( WATEJA HUWA NI WENGI KULIKO BIDHAA )..Unaweza kuanzia hapo, mambo mengine utayafahamu ukiwa kwenye biznez tayari.
Vijana wote wangekuwa na moyo wa kusaidia maelezo kama wewe basi mambo yangekuwa mazuri sana kwa vijana, vizuri kupeana moyo wa kuanza kitu kama hivi. Salute you.
 
Back
Top Bottom