Usijewekeza sehem ambapo elim ni ndogo utajuta,,Habari wakuu...
Nna wazo la kufanya biashara ya kuuza sabuni za maji za usafi/chooni na za kufulia(za maji pia) so natafuta wilaya ambayo haina kabisa hizi bidhaa ili niwekeze huko.
Am ready to migrate,naombeni muongozo kwa anayefahamu maeneo yenye uhaba wa hizo bidhaa.
Thanks in advance.