Biashara ya sabuni za maji

Biashara ya sabuni za maji

0905

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
252
Reaction score
244
Habari wakuu...
Nna wazo la kufanya biashara ya kuuza sabuni za maji za usafi/chooni na za kufulia(za maji pia) so natafuta wilaya ambayo haina kabisa hizi bidhaa ili niwekeze huko.

Am ready to migrate,naombeni muongozo kwa anayefahamu maeneo yenye uhaba wa hizo bidhaa.

Thanks in advance.
 
mkuu hongera kuthubutu ni kutenda... but tatizo uhitikiaji wa wateja haswa wa rural district ndio inshuu, then biashara za aina hiyo zinategemea sana wakopaji yaani isiwe ni chanzo cha mapato yaku makuu..
all in all kila la kheri.. sio wazo baya sana
 
Habari wakuu...
Nna wazo la kufanya biashara ya kuuza sabuni za maji za usafi/chooni na za kufulia(za maji pia) so natafuta wilaya ambayo haina kabisa hizi bidhaa ili niwekeze huko.

Am ready to migrate,naombeni muongozo kwa anayefahamu maeneo yenye uhaba wa hizo bidhaa.

Thanks in advance.
Usijewekeza sehem ambapo elim ni ndogo utajuta,,
 
Back
Top Bottom