Biashara ya salon ukiwa serious nayo unaweza ukapuuza ajira

Biashara ya salon ukiwa serious nayo unaweza ukapuuza ajira

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,192
Wakuu pitieni hapa, Kwanza uwe boss mwenywe fundi mwenywe uwe na wasaidizi walau 1 hivi Ukipata location mzuri, una luga nzuri, hauna majivuno, hauna dharau kwa mabosi wako (wateja), Bei zako za kawaida, unajua kunyoa, una umeme usiokatika hata kwa sekunde,, (inawezekana).
Kwa takwimu nilizonazo wengi wakiwa na wateja wengi kufikia anafunga 30 kwa siku wengi wanaanza kuvimba kichwa. Sifa za hapo juu zinakua vice versa.

Salon inatoa pesa Sana ukipata location nzuri Sana.

Nipo tayari kumfundisha ndani ya wiki tu mtu ambaye Ana wish afanye hii kazi Bure.. Ila ukifanikiwa jaribu kunikumbuka mkuu.. Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa boss na wewe ni fundi kunyoa, uwe na wasaidizi kadhaa hapo saloon (wawe mafundi pia) itakutoa, tena vizuri.
ila siyo mara siku moja upo saloon, siku nyingine hapupo, HAPO LAZIMA UPIGWE.
 
Wanaiba hawa jamaa balaa Kuna jamaa m1 ameifunga salon huku mtaani hapati hata 5000 kwa siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kazi mimi naijua, nilishawahi kuifanya, siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ilikuwa ni kawaida kupata sh 30-40.
Siku za kawaida ilikuwa ni wastani wa kupata sh 15-20, na nilikuwa peke yangu.
So hapo tungekuwa watu 3 ingekuwa inakuja hesabu nzuri kabisa.
kikubwa ongea vizuri na wateja wako.
mazingira yawe rafiki kwa wateja.
mwisho UWE FUNDI, SIYO UWE MBABAISHAJI.
 
Saloon yako ukiwa haupo,unafanyaje usipigwe??
Ni ngumu, ila inawekana tu ikiwa umeme unatumia peke yako, so unajua kabisa unit kadhaa zinanyoa vichwa kadhaa na kila kichwa ni hela kadhaa!
ila kama umeme mnatumia kampuni (wengi) ni ngumu kidogo kujua kama unapigwa au la.
 
Huwa mnawamudu vipi wale wanaokuja kukaa na kupiga stori full time?
Hahah swali Lako tamu Sana mimi Kwangu nina screen TV nch 24. Of course sikuwai mfukuza mtu ila Maana wengi wao ni wale unaowanyoa kila siku so unanzaje kumtimua mtaje wako..

Mtu from no were hawez fanya huo upuuzi na ukimuona mgeni haipiti siku mbili kabla hajakaa kwmye kiti tayari Kawa mteja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kazi mimi naijua, nilishawahi kuifanya, siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ilikuwa ni kawaida kupata sh 30-40.
Siku za kawaida ilikuwa ni wastani wa kupata sh 15-20, na nilikuwa peke yangu.
So hapo tungekuwa watu 3 ingekuwa inakuja hesabu nzuri kabisa.
kikubwa ongea vizuri na wateja wako.
mazingira yawe rafiki kwa wateja.
mwisho UWE FUNDI, SIYO UWE MBABAISHAJI.
Siku za siku kuu usisahau boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu pitieni hapa, Kwanza uwe boss mwenywe fundi mwenywe uwe na wasaidizi walau 1 hivi Ukipata location mzuri, una luga nzuri, hauna majivuno, hauna dharau kwa mabosi wako (wateja), Bei zako za kawaida, unajua kunyoa, una umeme usiokatika hata kwa sekunde,, (inawezekana).
Kwa takwimu nilizonazo wengi wakiwa na wateja wengi kufikia anafunga 30 kwa siku wengi wanaanza kuvimba kichwa. Sifa za hapo juu zinakua vice versa.

Salon inatoa pesa Sana ukipata location nzuri Sana.

Nipo tayari kumfundisha ndani ya wiki tu mtu ambaye Ana wish afanye hii kazi Bure.. Ila ukifanikiwa jaribu kunikumbuka mkuu.. Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiasi gani cha kianzia mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom