Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko wapi..? Kuna vifaa vya salooni viti viwili, mashine 1, na vioo vina vitatu vinauzwa.
Mkuu uko wapi..? Kuna vifaa vya salooni viti viwili, mashine 1, na vioo vina vitatu vinauzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
vinauzwa kiasi gani na pia weka picha na locationMkuu uko wapi..? Kuna vifaa vya salooni viti viwili, mashine 1, na vioo vina vitatu vinauzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
nipe mwongozo mkuuWakuu pitieni hapa, Kwanza uwe boss mwenywe fundi mwenywe uwe na wasaidizi walau 1 hivi Ukipata location mzuri, una luga nzuri, hauna majivuno, hauna dharau kwa mabosi wako (wateja), Bei zako za kawaida, unajua kunyoa, una umeme usiokatika hata kwa sekunde,, (inawezekana).
Kwa takwimu nilizonazo wengi wakiwa na wateja wengi kufikia anafunga 30 kwa siku wengi wanaanza kuvimba kichwa. Sifa za hapo juu zinakua vice versa.
Salon inatoa pesa Sana ukipata location nzuri Sana.
Nipo tayari kumfundisha ndani ya wiki tu mtu ambaye Ana wish afanye hii kazi Bure.. Ila ukifanikiwa jaribu kunikumbuka mkuu.. Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Kama unaweza ufunge camera tuu.... Akisema hamna wateja unamahali pa kuthibitishaSaloon yako ukiwa haupo,unafanyaje usipigwe??