Biashara ya salon ukiwa serious nayo unaweza ukapuuza ajira

Biashara ya salon ukiwa serious nayo unaweza ukapuuza ajira

Hii kitu ukipata location nzur inalipa sana
Nilikaaga saluni ya mtu then nikapambana kufungua yng bt nilifel ktk location japo si haba 20-30 hazipigi chenga upepo ukituliaga
 
Wakuu pitieni hapa, Kwanza uwe boss mwenywe fundi mwenywe uwe na wasaidizi walau 1 hivi Ukipata location mzuri, una luga nzuri, hauna majivuno, hauna dharau kwa mabosi wako (wateja), Bei zako za kawaida, unajua kunyoa, una umeme usiokatika hata kwa sekunde,, (inawezekana).
Kwa takwimu nilizonazo wengi wakiwa na wateja wengi kufikia anafunga 30 kwa siku wengi wanaanza kuvimba kichwa. Sifa za hapo juu zinakua vice versa.
Salon inatoa pesa Sana ukipata location nzuri Sana.
Nipo tayari kumfundisha ndani ya wiki tu mtu ambaye Ana wish afanye hii kazi Bure.. Ila ukifanikiwa jaribu kunikumbuka mkuu.. Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
nipe mwongozo mkuu
 
Back
Top Bottom