Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
Napatikana mtwara mkuu Karibu Sana wewe uko wapi?Unapatikana wapi
Umeniwahi jamaa yupo Safi Kuna watu wangeweka na za miamala hapaNimefurahi ulipo sema uko tayari kufundisha bure. Mungu akubariki
Ikiwa boss na wewe ni fundi kunyoa, uwe na wasaidizi kadhaa hapo saloon (wawe mafundi pia) itakutoa, tena vizuri.
ila siyo mara siku moja upo saloon, siku nyingine hapupo, HAPO LAZIMA UPIGWE.
Hiyo kazi mimi naijua, nilishawahi kuifanya, siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ilikuwa ni kawaida kupata sh 30-40.Wanaiba hawa jamaa balaa Kuna jamaa m1 ameifunga salon huku mtaani hapati hata 5000 kwa siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ngumu, ila inawekana tu ikiwa umeme unatumia peke yako, so unajua kabisa unit kadhaa zinanyoa vichwa kadhaa na kila kichwa ni hela kadhaa!Saloon yako ukiwa haupo,unafanyaje usipigwe??
CCTV cameras!Saloon yako ukiwa haupo,unafanyaje usipigwe??
Hahah swali Lako tamu Sana mimi Kwangu nina screen TV nch 24. Of course sikuwai mfukuza mtu ila Maana wengi wao ni wale unaowanyoa kila siku so unanzaje kumtimua mtaje wako..Huwa mnawamudu vipi wale wanaokuja kukaa na kupiga stori full time?
Siku za siku kuu usisahau bossHiyo kazi mimi naijua, nilishawahi kuifanya, siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ilikuwa ni kawaida kupata sh 30-40.
Siku za kawaida ilikuwa ni wastani wa kupata sh 15-20, na nilikuwa peke yangu.
So hapo tungekuwa watu 3 ingekuwa inakuja hesabu nzuri kabisa.
kikubwa ongea vizuri na wateja wako.
mazingira yawe rafiki kwa wateja.
mwisho UWE FUNDI, SIYO UWE MBABAISHAJI.
Kuna siku nilipata elf 50 siku ya siku kuu ya cristmassNdiyo Sheikh, hasa siku kadhaa kabla ya sikukuu huwa kuna vichwa balaa!
Uswazi watu wananyoana kishkaji kwa wembe chini ya miti, biashara lazima iwe ngumuWanaiba hawa jamaa balaa Kuna jamaa m1 ameifunga salon huku mtaani hapati hata 5000 kwa siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio ivyo vivyozi Wana ibaUswazi watu wananyoana kishkaji kwa wembe chini ya miti, biashara lazima iwe ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiasi gani cha kianzia mkuu?Wakuu pitieni hapa, Kwanza uwe boss mwenywe fundi mwenywe uwe na wasaidizi walau 1 hivi Ukipata location mzuri, una luga nzuri, hauna majivuno, hauna dharau kwa mabosi wako (wateja), Bei zako za kawaida, unajua kunyoa, una umeme usiokatika hata kwa sekunde,, (inawezekana).
Kwa takwimu nilizonazo wengi wakiwa na wateja wengi kufikia anafunga 30 kwa siku wengi wanaanza kuvimba kichwa. Sifa za hapo juu zinakua vice versa.
Salon inatoa pesa Sana ukipata location nzuri Sana.
Nipo tayari kumfundisha ndani ya wiki tu mtu ambaye Ana wish afanye hii kazi Bure.. Ila ukifanikiwa jaribu kunikumbuka mkuu.. Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app