Biashara ya salon za kiume na kike

Mm ni ngumu kusimamia kutokana na majukim kwa hy nataka nimpe Uhuru wa kufany kz na awe na maleng kuw mwish wa siku atakuja kimilik

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo tafuta kijana umkabizi salun mkubaliane hela kila wiki lakini nikua karibu nae maana vinyozi wengi sio waminifu akikosa hela anachukua machine na vitu vidovidogo kwenye salun.nafanya biashala hii kwa miaka mingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan mtaji wa milion 3 kwa mwezi unapata faida laki mbili. Hiyo sio biashara broo. Unatumia pesa yako kuwaajiria wengine. Sifanyi biashara kichaa kama hiyo. Si bora ninunue ubber

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli biashara ya saluni inapendeza uwe unaisimamia
Hivi kwa mfano akikwambia leo nimesuka tu mtu mmoja utamfanyeje?

[emoji252] [emoji479]
 
Kufungua sio tatzo but tatzo huja kwa wafanya kazi ni wasumbuf hatari na mfanyakaz ukitaka muweza kidoooogo napo sio sana mwambie posho jikadilie but kuumizwa kuko pale pale
 
Nina swali wakuu kwa mtaji wa 1M eti salon gani nzuri kati ya kike na kiume.

Swali laniongeza je kati ya salon na library ya kukodisha CD yepi bora kifanya yenye faida kwa mtaji wa 1M.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta eneo lenye mzunguko na saloon chache pili bola ya kiume plesha so nyingi ya kike utalea familia ya mwenzio na akajenga akat we unalia kwa kulalamika also liblary ni mazngira piaaa na inalipa pia kutegemea eneo
 
Nauza vifaa vya salon ya kiume vifuatavyo:
Vioo vyenye frame ya Aluminium vikubwa vitatu 1.29M X1.9M
Mlango wa Aluminium upana wa 1.83M na urefu wa 2.15M
Sofa dogo la watu wawili,
TV ya chogo
Sub woofer ndogo
Kikabati kidogo
Kiti cha kunyolea
Mashine Mbili za kunyolea
Fan kubwa ya Juu

Vyote kwa pamoja nauza kwa 1.5M kimoja kimoja tutaongea.

Tuwasiliane kupitia 0713260545
0767987316






 
Mkuu nikutafutie mteja nipate hata 30k
 
Habari zenu wakuu. Katika kupitia mawazo ya humu na research yangu ndogo nilofanya niliweza kufungua barbershop yangu maeneo ya Sinza Mori. Toka nimefungua hii ni wiki ya 2 nimeanza wiki ya tatu lkn kusema ukweli biashara imekuwa ya kawaida sana yani tofauti hata na malengo yangu. Ningependa kufaham je mwazo wa biashara hii ndivo unavokuwa au itafika mahali mambo yatabadilika na kuwa sawa.? Natanguliza shukrani zangu kwenu wakuu
 
Hiyo biashara ni sawa na biashara ya chakula ikifa ni uzembe wako, kuwa na bei za chini ili utengeneze Jina kwanza si unajua sisi wabongo na majengo yenye vioo vingi hatuwezani navyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…