Biashara ya salon za kiume na kike

Biashara ya salon za kiume na kike

Kaka nimeajiri watu wapo hapo wanaendesha ndio hvo kila siku napata hzo report za kawaida.
Jaribu kuchunguza usikute wanakupiga hao. Tenga baadhi ya siku uwe unaenda huko saloon kujionea hali halisi kama inaendana na unachokipata au lah
 
Saloon ya kike inalipa zaidi kuliko saloon ya kiume, wanawake kwa mwezi wanaweza kwenda saloon zaidi ya mara mbili na kuendelea lakini wanaume tunaenda saloon kila baada ya mwezi,miezi na wengine huamua kuachia afro kabisa (hapa ndipo kinyozi anapobaki saloon kuchomeshwa mahindi)[emoji4] [emoji4]
 
Habari zenu wanajamvi,
Nafikiria kufungua saloon ya kunyoa local(uswahilini) naombeni ushauri ni mtaji kiasi gani natakiwa kuwa nao na hasabu huwa inarange kiasi gani sokoni maana ntatafuta kinyozi. Natanguliza shukrani
 
Kama ni uswahilini sana malengo kwa siku ni elfu sita hadi elfu8,mtaji inategemea wewe unataka kuiwekaje.
Kodi 30000*6=180000
Vifaa vingine kama mashine,kioo,sofa au benchi kwa juu unatengenezea godoro,vitana,pamba,radio,picha ukutani,spirit,
Andaa millioni1.kama hauna chochote
 
Kama ni local na ni uswahilini laki 5 inaweza isiishe.
Chumba/frem appr elf 20 -30
Mashine ya kunyolea 1 appr elf
Kiti cha laki moja hv
Vioo viwili vya size ya kawaida mbele na nyuma kama elf laki moja hv.
Na vikolokolo vidogodogo.

Return yake itategemea na location na ufundi wa kinyozi.
 
ahsante mkuu.
na minimum hesabu huwa inarange ngapi mkuu kwa siku?
 
Kama ni uswahilini sana malengo kwa siku ni elfu sita hadi elfu8,mtaji inategemea wewe unataka kuiwekaje.
Kodi 30000*6=180000
Vifaa vingine kama mashine,kioo,sofa au benchi kwa juu unatengenezea godoro,vitana,pamba,radio,picha ukutani,spirit,
Andaa millioni1.kama hauna chochote
Ahsante kwa mchango wako ndugu yangu
 
Kama ni uswahilini sana malengo kwa siku ni elfu sita hadi elfu8,mtaji inategemea wewe unataka kuiwekaje.
Kodi 30000*6=180000
Vifaa vingine kama mashine,kioo,sofa au benchi kwa juu unatengenezea godoro,vitana,pamba,radio,picha ukutani,spirit,
Andaa millioni1.kama hauna chochote
Kwa hesabu hizi .
1. Utazalisha Tshs. 6000/= kwa siku

2. Toa kodi kwa siku 1000 itabaki 5000

3. Umeme kwa siku ???

4. Malipo ya kinyozi kwa siku???

5. Garama nyingine kama kunoa na kufanya ukarabati wa vifaa, kununua mafuta/ spirit/ ???
 
Mkuu hiyo ni malengo anayopokea boss kama ilivyo kwa bodaboda na bajaji..
Tusaidiane kueleza tunachokifahamu
 
Kama ni local na ni uswahilini laki 5 inaweza isiishe.
Chumba/frem appr elf 20 -30
Mashine ya kunyolea 1 appr elf
Kiti cha laki moja hv
Vioo viwili vya size ya kawaida mbele na nyuma kama elf laki moja hv.
Na vikolokolo vidogodogo.

Return yake itategemea na location na ufundi wa kinyozi.
Mkuu umesau kiti cha wateja
 
Kwa yeyote anayefahamu kuhusu biashara ya SALON ya kiume
*Gharama za vifaa
*malipo ya kinyozi
Naomba anijuze tafadhali
 
Nenda kwenye saloon ya kiume kaulize!!
Utapata majibu kamili hapa utapata majibu ya kukisia tu.

Labda ungesema una mtaji kasi gani? na unataka kufungua maeneo gani.
Hapa ndio mahali pake
 
Nenda kwenye saloon ya kiume kaulize!!
Utapata majibu kamili hapa utapata majibu ya kukisia tu.

Labda ungesema una mtaji kasi gani? na unataka kufungua maeneo gani.
Hapa ndio mahali pake
Ahsante kaka mtaji wangu ni kama laki tano na nataka nifungue hapa dar es salaam.
 
Back
Top Bottom