Jaribu kuchunguza usikute wanakupiga hao. Tenga baadhi ya siku uwe unaenda huko saloon kujionea hali halisi kama inaendana na unachokipata au lahKaka nimeajiri watu wapo hapo wanaendesha ndio hvo kila siku napata hzo report za kawaida.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]N.B,kuna member mmoja alisema usije ukawekeza mbagala maana kule bado wananyoana na mikasi[emoji23]
N.B,kuna member mmoja alisema usije ukawekeza mbagala maana kule bado wananyoana na mikasi[emoji23]
ahsante mkuu.Kama ni local na ni uswahilini laki 5 inaweza isiishe.
Chumba/frem appr elf 20 -30
Mashine ya kunyolea 1 appr elf
Kiti cha laki moja hv
Vioo viwili vya size ya kawaida mbele na nyuma kama elf laki moja hv.
Na vikolokolo vidogodogo.
Return yake itategemea na location na ufundi wa kinyozi.
Ahsante kwa mchango wako ndugu yanguKama ni uswahilini sana malengo kwa siku ni elfu sita hadi elfu8,mtaji inategemea wewe unataka kuiwekaje.
Kodi 30000*6=180000
Vifaa vingine kama mashine,kioo,sofa au benchi kwa juu unatengenezea godoro,vitana,pamba,radio,picha ukutani,spirit,
Andaa millioni1.kama hauna chochote
Kwa hesabu hizi .Kama ni uswahilini sana malengo kwa siku ni elfu sita hadi elfu8,mtaji inategemea wewe unataka kuiwekaje.
Kodi 30000*6=180000
Vifaa vingine kama mashine,kioo,sofa au benchi kwa juu unatengenezea godoro,vitana,pamba,radio,picha ukutani,spirit,
Andaa millioni1.kama hauna chochote
Kwa hesabu hizi .
1. Utazalisha Tshs. 6000/= kwa siku
2. Toa kodi kwa siku 1000 itabaki 5000
3. Umeme kwa siku ???
4. Malipo ya kinyozi kwa siku???
5. Garama nyingine kama kunoa na kufanya ukarabati wa vifaa, kununua mafuta/ spirit/ ???
Mkuu umesau kiti cha watejaKama ni local na ni uswahilini laki 5 inaweza isiishe.
Chumba/frem appr elf 20 -30
Mashine ya kunyolea 1 appr elf
Kiti cha laki moja hv
Vioo viwili vya size ya kawaida mbele na nyuma kama elf laki moja hv.
Na vikolokolo vidogodogo.
Return yake itategemea na location na ufundi wa kinyozi.
1.Tv ya kuweka ile mikanda inayotafsiriwa kwa kiswahili...Mkuu umesau kiti cha wateja
Ahsante kaka mtaji wangu ni kama laki tano na nataka nifungue hapa dar es salaam.Nenda kwenye saloon ya kiume kaulize!!
Utapata majibu kamili hapa utapata majibu ya kukisia tu.
Labda ungesema una mtaji kasi gani? na unataka kufungua maeneo gani.
Hapa ndio mahali pake
Ahsante kaka mtaji wangu ni kama laki tano na nataka nifungue hapa dar es salaam.
Hapana ni kwa ajili ya ununuzi wa vifaaKwenye hiyo laki tano ni pamoja na kodi ya pango na ununuzi wa vifaa?