Biashara ya salon za kiume na kike

kama bado hujanunua vifaa, mimi nauza vifaa vyangu nitakuuzia kwa bei nafuu sana ni vizima, nina draya nina steamer nina kioo kikubwa, nina dude lakuoshea nywele kubwa nina trey zile za mabakuri nitakupa na rolaz, nina pasi, nina draya ya mkono nina desk board hata ukitaka viti nitakuuzia pia
 
Acha hayo mengine, wivu nilioona mimi ni kwamba Waha wamekuwa branded kama wapaka kucha, kama ambavyo ukisikia Mangi na duka.... hilo tu mlamu zingatia branding achana na harufu.
Mkuu brand ya kunusa k???!!!!!
 
Nini kimekushinda mpaka unavisukumiza hivo vifaaa.,
 
Mzee umeongea point kbx
 
Mnaotaka kufungua barbeshop za kueleweka mjipange, hela inatembea sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…