So Saloon ni Salon
Kuna kipindi kumwabia mtu ukweli nakuwa ngum sana ila inabidi.
Hakuna Salon nzuri kama unavyotaka kwa milioni mbili.
Sema nataka Salon ya kwaida uswaznigga hapo sawa.
Maana mfumo wa sasa ni Full aluminum,na mlango wa aluminium si chini ya milioni moja,bado hujaingia ndani kufix.
Unajua pesa kuitamka unaona no nyingi lakini ukiingia kwenye mipango ni ndogo sana,usije ukakurupuka kisha ukaja kukwama na mtaji ukaganda.
Nakushari fungua Salon ya kawaida tu,weka mlango wa mbao,viti vya mbao,weka feni ya kiushkaji hapo itakutoa.
Lakini ukitaka makuu hiyo pesa ni ndogo sana.
Mtu wa kufanya scrub mara nyingi hakuna malipo ya mwezi,huwa analipwa kwa kila kichwa,tatizo ni kwamba ukianza kutafuta mtu aisemjuzi badso hapo biashara itakula kwako,wateja watakimbia,alikni kama ukitafuta mdada mzuri wa kazi hiyo basi unaweza kukuta hata mtu kama hajanyoa hapo anaweza kujakufanya scrub