Barber shop clasic bajet ni kama ifuatavyo
1.viti vya saloon clasic @1, 000, 000
2.kiti cha scrub @1, 500, 000
3.fetlizer @350, 000
4.machine za kunyolea @150, 000
5.tv and radio
6 .air port chair @500, 000
Hii ndio rougly bajet km frame ipo poa mean ac, vioo
Saloon ni sehemu ya kukata nywele wanaume
mimi ni member kama wewe wala sina mamlaka ya kukuamuru, nilikuwa nakushauri tu!Wewe Ni Nani Kuniamulia Mimi Nini Cha Kufanya? Na Umepata Wapi Hayo Mamlaka?
Anza Kumpa Ushauri Mkeo Kisha Uje Kwa MWANAMUME Wa Shoka GENTAMYCINE Sawa? Jipange Mbwiga Weye!
aaaha ha ha ha ha,majigo kwa vituko ,inaonekana hunaga hasira kabisa yani.ngoja nitarudi, ila mi sitaki malumbano ujue!
mimi sio mbwiga mdau wangu
lkn poa nimekuelewa ,tuache malumbano .hayana mpango
vp hyo biashara ya kunyoa nywele za kichwani, inalipa mkuu?
Haisaidii!Hivi Ni Salon au Ni Saloon?
mimi ni member kama wewe wala sina mamlaka ya kukuamuru, nilikuwa nakushauri tu!
Sote tunapita hapa, nisamehe kwa kauli zangu kiongozi
nimekupenda bure
pamoja sana
Haisaidii!
Napenda Sana Watu Wanaosalimu Amri Kwa GENTAMYCINE Kama Wewe Na Kutaka Amani Nami Nimetulia Sasa Kwani Nilijua Ungetaka Ligi na Mimi! Mkuu Hiyo Biashara Inalipa Sana Tena Haswa Ukiiweka Sehemu Ambayo Ina Mzunguko Mkubwa Wa Watu Na Upate Vijana Mafundi Haswa Wa Kunyoa Hakika Hutojutia Uwekezaji Wako na Utafaidika Sana Na Kuhusu Mtaji Nadhani Kitu Kama Milioni Tano Zatosha Kwa Kuanzia.
Really???? Na salon?
Kwakuwa ni mgeni nakusaidi baadhi ya vitu unapotaka kupata msaada humu,la sivyo mwaka utafika hujajibiwa.
Pia uzi kama huu umo humu pia.Pia ni Salon na sio Saloon
Kwanza sema upo maeneo gani ya nchi
Pia weka kima cha juu cha mtaji wako na cha chini
Maana Salon unaweza kuanzia hata Elfu kumi tu,ukatafuta kibaraza na viwembe ukaanza kunyoa watu.
Na zipo Salon kuanzia Milioni mbili mpaka Milioni Hamsini
Sawa kabisa na mimi,niko,na wazo kama la jamaa ila mimi mtaji wangu ni 1million( I have 2 machine) na niko mwanza
Sawa kabisa na mimi,niko,na wazo kama la jamaa ila mimi mtaji wangu ni 1million( I have 2 machine) na niko mwanza
Tatizo la watu wengi si wagunduzi wa mambo,kila anayefungu saloon ananyoa nywele za kichwani na ndevu,kwann wewe usigundue stayle yako ya kunyoa kwingine,?nywele zipo sehemu nyingi tu za mwili,jaribu hii itakusaidia na wateja utapata wengi sana. Kunyoa kule kuna lipa sana wakuu
Ukizungumzua barbershop iyo m2 ni ela ya viti viwili tu
Na kama ni spiriti pamba ela iyo inweza kuyeyuka kwenye kodi ya fremu
Hakuna mtu anaweza kuja kwenye saloon ya m2 kufanya scrub kwani itakuwa baada ya kumuosha unamchafua kwa ushauri ni pm
Saloon ni kazi yangu. Yeyote mwenye wazo kama ilo anicheck ntamsaidia