Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kumbuka malipo yanatokana na hadhi ya saloon na wateja utakaowahudumia
malipo ya mfanya kazi wa saloon zenye hadhi kama za masaki ni tofauti na yule wa mbagara
hyo yote ni kutokana tofauti ya mapato
Habari. Nataka kufanya biashara ya saloon ya kunyoa nywele wanaume pamoja na scrub. Naomba mnisaidie kujua gharama za vifaa vizuri vya saluni na upatikanaji wake. Mimi naishi mbeya na biashara itakuwa huko. Je mshahara wa kinyozi na mtu wa scrub kwa kuanzia huwa ni shilingi ngapi. Ushauri wenu utanisaidia mimi kutafuta mtaji sahihi wa kuanzia hii biashara .

Hivi Ni Salon au Ni Saloon?
Salon ni sehemu ya kukata nywele na saloon ni gari linalobeba watu hata watano au sita, pia saloon ni sehemu ya kunywea pombe PUB
Ndugu mnyaluhala mm nafanya hiyo biashara hapa hapa mbeya kuhusu vifaa vya kuweka saloon anaglia vya muhimu kwanza kama kiti au viti,mashine na kioo na chumba au fremu. kumbuka chumba au fremu ndio inachukua sehemu kubwa ya gharama yako kuhusu milion2 kama itatosha au vip inategemeana na ubora wa saloon unayotaka mfano mm ilipofika million 5 niliacha kuhesabuco z kuna vitu kama jenereta lazima uwe nalo si unajua umeme wetu. pia malipo kwa vinyozi tunaweka malengo kama vile wamiliki wa dalal dala yaani analeta kiwango fulani cha hela kwa siku kutegemeana na idadi ya viti, hadhi ya saloon,eneo la saloon mfano inaanzai tsh. elfu 5,7,10,15,20 hadi 25 kwa kiti. pia jua vinyozi huwa wanasumbua sana kama upo mbali nao sana na usiruhusu walale na hela zaidi ya siku 2
Salon ni sehemu ya kukata nywele na saloon ni gari linalobeba watu hata watano au sita, pia saloon ni sehemu ya kunywea pombe PUB
Niliuliza tu Kama Ni Salon AU Saloon Na Hayo Maelezo Yako Mengine Sidhani Kama Niliyahitaji Sana ILA Asante Kwa Kujitutumua Na Kujitahidi Kutafsiri Na Hakika Elimu Ya BRN Sasa Inafanya Kazi!
Niliuliza tu Kama Ni Salon AU Saloon Na Hayo Maelezo Yako Mengine Sidhani Kama Niliyahitaji Sana ILA Asante Kwa Kujitutumua Na Kujitahidi Kutafsiri Na Hakika Elimu Ya BRN Sasa Inafanya Kazi!
Ukosoaji wako ndio nimeushangaa
toeni ushauri, sio vzuri mnajaza thread bure wakati muitikio wa jamaa ktk coment zilizopta hapo juu inaonesha anahitaji BERBESHOP
Wewe Ni Nani Kuniamulia Mimi Nini Cha Kufanya? Na Umepata Wapi Hayo Mamlaka? Hivi Sina Uhuru wa Kutoa Langu La Moyoni? Anza Kumpa Ushauri Mkeo Kisha Uje Kwa MWANAMUME Wa Shoka GENTAMYCINE Sawa? Jipange Mbwiga Weye!