Biashara ya salon za kiume na kike

Biashara ya salon za kiume na kike

mkuu kumbuka malipo yanatokana na hadhi ya saloon na wateja utakaowahudumia
malipo ya mfanya kazi wa saloon zenye hadhi kama za masaki ni tofauti na yule wa mbagara
hyo yote ni kutokana tofauti ya mapato
 
Nataka nitengeneze saloon ya kisasa angalau kwa kiwango cha wastani itakayovutia wateja ndio maana nilitaka kujua malipo nijue najipanga na bajeti ya kiasi gani kwa kuanzia, kumbuka mwanzo unaweza usipate wateja wengi ukalazimika kutumia pesa yako kulipia baadhi ya gharama.
 
kama hujanunua vifaa ni-pm nina vifaa vya salon ya kiume nauza, kinyozi kanizingua na bado vipya
 
So Saloon ni Salon
Kuna kipindi kumwabia mtu ukweli nakuwa ngum sana ila inabidi.
Hakuna Salon nzuri kama unavyotaka kwa milioni mbili.
Sema nataka Salon ya kwaida uswaznigga hapo sawa.
Maana mfumo wa sasa ni Full aluminum,na mlango wa aluminium si chini ya milioni moja,bado hujaingia ndani kufix.
Unajua pesa kuitamka unaona no nyingi lakini ukiingia kwenye mipango ni ndogo sana,usije ukakurupuka kisha ukaja kukwama na mtaji ukaganda.
Nakushari fungua Salon ya kawaida tu,weka mlango wa mbao,viti vya mbao,weka feni ya kiushkaji hapo itakutoa.
Lakini ukitaka makuu hiyo pesa ni ndogo sana.
Mtu wa kufanya scrub mara nyingi hakuna malipo ya mwezi,huwa analipwa kwa kila kichwa,tatizo ni kwamba ukianza kutafuta mtu aisemjuzi badso hapo biashara itakula kwako,wateja watakimbia,alikni kama ukitafuta mdada mzuri wa kazi hiyo basi unaweza kukuta hata mtu kama hajanyoa hapo anaweza kujakufanya scrub
 
Barber shop clasic bajet ni kama ifuatavyo
1.viti vya saloon clasic @1, 000, 000
2.kiti cha scrub @1, 500, 000
3.fetlizer @350, 000
4.machine za kunyolea @150, 000
5.tv and radio
6 .air port chair @500, 000
Hii ndio rougly bajet km frame ipo poa mean ac, vioo
 
Poa nashukuru kwa ushauri ndugu wa jf. Mkubwa aine ntakucheki pm tuelewane bei hivyo vitu uliyonavyo.
 
ukifata baadhi ya shauri za hapa hiyo hela itayeyukia mikononi
wenzako wanapiga hesabu ya barbeshop za hadhi ya juu
kwa Mbeya hiyo hela inatosha sana..tena na kubaki
we tembelea visaloon hapo mwanywelwa na uyole, jaribu kuwadadisi hao wanyoaji watakupa data inayoendana na eneo unalotaka kuwekeza
watu tushazoea BM BERBESHOP tutakusahuri lkn mwsho lazima tukuchanganye
 
Habari. Nataka kufanya biashara ya saloon ya kunyoa nywele wanaume pamoja na scrub. Naomba mnisaidie kujua gharama za vifaa vizuri vya saluni na upatikanaji wake. Mimi naishi mbeya na biashara itakuwa huko. Je mshahara wa kinyozi na mtu wa scrub kwa kuanzia huwa ni shilingi ngapi. Ushauri wenu utanisaidia mimi kutafuta mtaji sahihi wa kuanzia hii biashara .

Ndugu mnyaluhala mm nafanya hiyo biashara hapa hapa mbeya kuhusu vifaa vya kuweka saloon anaglia vya muhimu kwanza kama kiti au viti,mashine na kioo na chumba au fremu. kumbuka chumba au fremu ndio inachukua sehemu kubwa ya gharama yako kuhusu milion2 kama itatosha au vip inategemeana na ubora wa saloon unayotaka mfano mm ilipofika million 5 niliacha kuhesabuco z kuna vitu kama jenereta lazima uwe nalo si unajua umeme wetu. pia malipo kwa vinyozi tunaweka malengo kama vile wamiliki wa dalal dala yaani analeta kiwango fulani cha hela kwa siku kutegemeana na idadi ya viti, hadhi ya saloon,eneo la saloon mfano inaanzai tsh. elfu 5,7,10,15,20 hadi 25 kwa kiti. pia jua vinyozi huwa wanasumbua sana kama upo mbali nao sana na usiruhusu walale na hela zaidi ya siku 2
 
Hivi Ni Salon au Ni Saloon?
 
Asante kwa maelezo mazuri.
nimeelikika
 
Salon ni sehemu ya kukata nywele na saloon ni gari linalobeba watu hata watano au sita, pia saloon ni sehemu ya kunywea pombe PUB

Niliuliza tu Kama Ni Salon AU Saloon Na Hayo Maelezo Yako Mengine Sidhani Kama Niliyahitaji Sana ILA Asante Kwa Kujitutumua Na Kujitahidi Kutafsiri Na Hakika Elimu Ya BRN Sasa Inafanya Kazi!
 
Ukosoaji wako ndio nimeushangaa
 
toeni ushauri, sio vzuri mnajaza thread bure wakati muitikio wa jamaa ktk coment zilizopta hapo juu inaonesha anahitaji BERBESHOP
 
Ukosoaji wako ndio nimeushangaa

inatosha wadau, hiyo lugha wote sio yetu
turud kwenye mada tuache marumbano
jamaa anazungumzia OFISI YA KUNYOA NYWELE ZA KICHWAN(BARBESHOP)
 
toeni ushauri, sio vzuri mnajaza thread bure wakati muitikio wa jamaa ktk coment zilizopta hapo juu inaonesha anahitaji BERBESHOP

Wewe Ni Nani Kuniamulia Mimi Nini Cha Kufanya? Na Umepata Wapi Hayo Mamlaka? Hivi Sina Uhuru wa Kutoa Langu La Moyoni? Anza Kumpa Ushauri Mkeo Kisha Uje Kwa MWANAMUME Wa Shoka GENTAMYCINE Sawa? Jipange Mbwiga Weye!
 
mimi sio mbwiga mdau wangu
lkn poa nimekuelewa ,tuache malumbano .hayana mpango
vp hyo biashara ya kunyoa nywele za kichwani, inalipa mkuu?
 
Back
Top Bottom