notyfeky JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 713 Reaction score 730 Jan 2, 2025 #1 Habari. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje? Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
Habari. Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje? Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Jan 2, 2025 #2 TRA na Manispaa/Halmashauri. Upo wp? Sio bei kubwa ingia tu mkuu.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Jan 2, 2025 #3 Tulikua nayo Mabibo hostel tulikua tunatoa kama 80k kwa mwezi TRA
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Jan 2, 2025 #4 Mad Max said: Tulikua nayo Mabibo hostel tulikua tunatoa kama 80k kwa mwezi TRA Click to expand... Unajuamaana ya 80k au unaongea tu,labda useme 8000
Mad Max said: Tulikua nayo Mabibo hostel tulikua tunatoa kama 80k kwa mwezi TRA Click to expand... Unajuamaana ya 80k au unaongea tu,labda useme 8000
notyfeky JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 713 Reaction score 730 Jan 2, 2025 Thread starter #5 Mad Max said: TRA na Manispaa/Halmashauri. Upo wp? Sio bei kubwa ingia tu mkuu. Click to expand... Ni bei gani mkuu?
Mad Max said: TRA na Manispaa/Halmashauri. Upo wp? Sio bei kubwa ingia tu mkuu. Click to expand... Ni bei gani mkuu?
notyfeky JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 713 Reaction score 730 Jan 2, 2025 Thread starter #6 Mad Max said: TRA na Manispaa/Halmashauri. Upo wp? Sio bei kubwa ingia tu mkuu. Click to expand... Moshi mkuu
Mad Max said: TRA na Manispaa/Halmashauri. Upo wp? Sio bei kubwa ingia tu mkuu. Click to expand... Moshi mkuu
MAKONGOLOSII JF-Expert Member Joined Jul 31, 2024 Posts 413 Reaction score 640 Jan 3, 2025 #7 Wewe fungua tu. Watakuja wenyewe