Mildotty
JF-Expert Member
- Jun 29, 2016
- 278
- 198
Habarini wanajamvi, Ni matumaini yangu kuwa nyote mnaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu mimi ni mdau mkubwa wa biashara ya samaki wabichi hawa na ninatamani sana kuingia sasa rasmi katika biashara hii.
Naombeni kujua changamoto ya biashara tajwa hapo juu hasa kuanzia mtoni zinakovuliwa, Usafirishaji wake njiani na baada ya mzigo kufika sokoni na namna za kukabiliana na changamoto hizo.
Karibuni wadau tuweze kubadilishana mawazo hapa na kupeana mbinu imara katika kuimarisha uchumi wetu hasa kuhusu soko la hawa samaki wabichi na jinsi ya kubuni mbinu mpya za uendeshaji wa biashara hii ili kuweza kuendana na kasi ya technologia ya sasa!
Natanguliza shukrani zangu![emoji120]
Kwa mahitaji pia ya samaki hawa wabichi (Perege, kambale na kamongo) kwa bei ya Jumla(kuanzia kg 5) au rejareja unaweza kunitxt kwa namba zifuatazo
watsap 0672323369
kupiga 0625723669