Biashara ya Samaki vs Maziwa

Umejitahidi Sana,,vipi flow ya wateja?,ulipatia location?
 
Habari wanajamvi...kama ada nimelenga kuwakokota watanganjia wenzangu kwenye ujasiriamali..hayua nyingi nazopita zina changamoto nyingi.kwa wewe unaefanya haso zako nakuomba usiziogope changamoto kwani ndizo zinazokuimarisha..

Cha msingi uweze kuzikabili.mimi binafsi nimepata changamoto ya watu wengi kuiga aina ya biashara na pia wanamitaji mikubwa..cha pili ni wateja kurequest baadhi ya bidhaa ....hapa kwenye kucheza na wateja unatakiwa ucheze draft kwanza ndio uamue.
 
Hiyo ni menu yetu
 

Attachments

  • Screenshot_20200715-121958_Drive.jpg
    65.5 KB · Views: 30
Kaka nimefatilia suala la korosho nimezipata kunamdau analeta mbagala rangi 3..ahsante sana
 
Habari za muda wakuu .nashukuru sana naendelea vizuri na haso.nimekuja kwenu na wazo jipya nimeuza biashara ya maziwa nikamalizia kibanda. Hivyo familia inamakazi sasa.nimebakiwa na 2m natarajia kutokomea baharini kwenye uchumi wa blue. Naanzia mafia kisha Comoros na destiny ni uholanzi..ila kwa kuanzia hapa mafia naenda kama mtu asiye na elimu walachochote. Naenda kulala dago na kufanya shughuli mdogo za kupaa samaki na kuwa chawa wa wavuvi na wafanyabiashara nguli...nipe neno kidogo kwenye hii mission mpya n.b tayari nina paspot na nishachanja yellow fever na covid
 
Mkuu kwani unaacha biashara ambayo unaimudu na kukimbilia changamoto mpya ambayo hujui hatma take?

Au biashara imekuwa haina faida sasa hivi?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwani unaacha biashara ambayo unaimudu na kukimbilia changamoto mpya ambayo hujui hatma take?

Au biashara imekuwa haina faida sasa hivi?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Faida ipo sana tu.ila muda wa samaki ndio huu mana nimekuwa nikisafirisha samaki wa mtu kwa muda..pia samaki nawamudu pia..na milango ya samaki kimafanikio ni mingi mmo..
Sasa nawaza international business..
Uchumi wa blue ni mkubwa mno kaka..kina mwani .jongoo bahari na lobster pia kuna matumbawe...japo hii haso ni haso ya kutoka jasho kweli kweli..i need those dollars mzee
 
Sawa mkuu pambana..kijichi upo sehemu gani,mm Napatikana njia ya hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…