Biashara ya Samaki vs Maziwa

Biashara ya Samaki vs Maziwa

Karibu sana kijichi mallemilk upate maziwa ,kagawa,na samaki wazuri fresh kabisa
 
Mkuu asante sana kwa kunikumbuka, nimependa sana kuwa na ofisi na ubunifu unaoendelea nao kama tende, karanga etc ninaamini utafika mbali sana kwa style hii. Hapo hakikisha unakuwa na aina nyingi za kahawa (ikiwemo kahawa za kutwanga/chenga kutoka kigoma,tanga, Kilimanjaro, bukoba) wengi tunazipenda kuliko za dukani na Kuna baadhi hawapendi strong/weak coffee pia kuwa na aina nyingi za majani ya chai bila kusahau green tea, tangawizi etc ili mteja achague anachopenda kama bar. Ukipata carton la korosho la 250,000 mtwara halafu unakaanga mwenyewe utaingiza faida ya maana sana
 
Hongera &big up sana..nakushauri usiishie kwenye kahawa pekee kuna watu wengine hawatumii kahawa kwaajili ya hali ya afya nimeona kwenye shelf kuna cocoa zipe majina yatakayomvutia mlaji ie Hot chocolate kwa wadada wadada utawavutia...
Swala la samaki au mtindi hapo inategemea na muda wako wa kuandaa ingawa mtindi hauharibiki ukilinganisha na samaki na jinsi ninavyokuona unaweza fanya vyote si ushanunua freezer kuhifadhia samaki in case wakibaki...ongezea microwave itakusaidia kupasha hizo bites au km hutaki unaweza weka half cake au maandazi mazuri ambavyo vinaliwa vya baridi..all the best
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Ahsante sana
Ahsante sana mkuu nimeshaongeza micro na from kwa ajili ya kuwekea matunda ya kutengeneza juice
 
Attachments

  • Pic_2020_05_31_01_33_17.jpg
    Pic_2020_05_31_01_33_17.jpg
    110.4 KB · Views: 31
Hongera &big up sana..nakushauri usiishie kwenye kahawa pekee kuna watu wengine hawatumii kahawa kwaajili ya hali ya afya nimeona kwenye shelf kuna cocoa zipe majina yatakayomvutia mlaji ie Hot chocolate kwa wadada wadada utawavutia...
Swala la samaki au mtindi hapo inategemea na muda wako wa kuandaa ingawa mtindi hauharibiki ukilinganisha na samaki na jinsi ninavyokuona unaweza fanya vyote si ushanunua freezer kuhifadhia samaki in case wakibaki...ongezea microwave itakusaidia kupasha hizo bites au km hutaki unaweza weka half cake au maandazi mazuri ambavyo vinaliwa vya baridi..all the best
Ahsante sana mkuu suala la korosho linanipasua kichwa nazihitaji mno..pia kuhusu hizo aina za kahawa nazifanyia kazi...Khan kifaa kinaitwa milk brother nakitafuta sana
 
Hongera &big up sana..nakushauri usiishie kwenye kahawa pekee kuna watu wengine hawatumii kahawa kwaajili ya hali ya afya nimeona kwenye shelf kuna cocoa zipe majina yatakayomvutia mlaji ie Hot chocolate kwa wadada wadada utawavutia...
Swala la samaki au mtindi hapo inategemea na muda wako wa kuandaa ingawa mtindi hauharibiki ukilinganisha na samaki na jinsi ninavyokuona unaweza fanya vyote si ushanunua freezer kuhifadhia samaki in case wakibaki...ongezea microwave itakusaidia kupasha hizo bites au km hutaki unaweza weka half cake au maandazi mazuri ambavyo vinaliwa vya baridi..all the best
Nimeamua kwa upande wa bite niweke karanga korosho na meat pie...magimbi na viazi vya kuchemsha
 
Hii inaitwa milk frother naomba mnijuze pakuipata
 
Attachments

  • Screenshot_20200531-014446_Google.jpg
    Screenshot_20200531-014446_Google.jpg
    75.3 KB · Views: 34
Nimefurahi kwa kuwa ulilifanyia kazi wazo langu.
Nakutakia mafanikio mema na siku moja uje humu na ushuhuda ili kuwapa nguvu vijana waliobweteka majumbani wakisubiria kuwa watumwa wa kazi za wengine.
Naiuza kwa sasa mkuu ahsante kwa kuniongezea madini
 
Back
Top Bottom