ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Thanks so muchhongera sana umepambana sana ndugu uza mtindi, maziwa fresh, na bites hiyo itakutoa zaidi ya hapo kwani hata mm nataka niingie kwenye biashara hiyo ya mtindi ila angalia eneo zuri la hiyo biashara mkuu
Suala la korosho kama hutojali nitakusaidia namna ya kuzipata mkuu nicheki PmAhsante sana mkuu suala la korosho linanipasua kichwa nazihitaji mno..pia kuhusu hizo aina za kahawa nazifanyia kazi...Khan kifaa kinaitwa milk brother nakitafuta sana
Kama umezipata hamna shidaKaka nimefatilia suala la korosho nimezipata kunamdau analeta mbagala rangi 3..ahsante sana
Nitakuja kukutembelea mkuu
Kwa Dar es salaam maziwa na mtindi unatoa wapi mkuuhongera sana umepambana sana ndugu uza mtindi, maziwa fresh, na bites hiyo itakutoa zaidi ya hapo kwani hata mm nataka niingie kwenye biashara hiyo ya mtindi ila angalia eneo zuri la hiyo biashara mkuu
Ni ngum sana kufikiria nje ya box.kwani waliokuwa wakinipnga kuanzia milk point pia wamenipinga kwenye hii malle fishery company Ltd.nikiongelea samaki hivisasa sifikirii wale wa mabuchani au mafungu ya dagaa. I think something big.na kama kuna kijana ameipenda basi twende sawa kwenye hii haso ya kupugana kiume.
Mzee commitment na uaminifu na ubunifu. Hizi ndio funguo zangu kuu tatuAisee I salute you una roho ya upambanaji sna
Wachache sna wanaoweza kuconvert 42000 na kutoboa
Currently ninatoa maziwa ikwiriri.Kwa Dar es salaam maziwa na mtindi unatoa wapi mkuu
Usichojua ni kuwa nilikuwa nakesha..nilikimbiwa nashemeji yako..nilikiwa bahili mno.mlo wangu ulikuwa muhigowa kuchemsha na chai ya rangi..msongo wa mawazo kufanya kazi kama punda.watu wa kazi ndio boss mana nafanya kazi kuliko waoMzee commitment na uaminifu na ubunifu. Hizi ndio funguo zangu kuu tatu
Very complex unataka nn specificallyNaomba kufahamu mchanganuo wa biashara ya samaki wa maji chumvi,hasa kwa wanaochukua mzigo kivukoni(dar es salaam)
Anzia hapa kwanzamm mwenyewe nina kamtaji nawaza kuingiza mafia na sijawahi fika na Sina ndugu Ila naendea samaki nipeleke Lindi sijajua naanzaje
Samaki wa kivukoni wana mitindo minne. Moja kulangua na kuuza pembeni..kununua pc na kuuza mahotelini.kulangia na kwenda kukaanga mitaani.kupoint na kuuzia wadosi wako.wewe unatakajeNaomba kufahamu mchanganuo wa biashara ya samaki wa maji chumvi,hasa kwa wanaochukua mzigo kivukoni(dar es salaam)