Wandugu,miaka ya tisini na mwishoni miaka ya 80 kuliibuka hii biashara,lakini siku hizi sijaisikia tena. Juzi nikiwa maporini kwa mihangaiko nilikutana na mzee mmoja akaniomba nimtafutie mteja wa sarafu za mwaka 22 za cent moja. Kwa kuwa siku hizi nimejitenga na biashara za mjini sijui pa kuanzia ili kumsaidia.Yeyote mwenye kujua mteja au soko tafadhari anifahamishe.