Biashara ya sarafu za zamani

Biashara ya sarafu za zamani

Nduka

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2008
Posts
8,553
Reaction score
2,380
Wandugu,miaka ya tisini na mwishoni miaka ya 80 kuliibuka hii biashara,lakini siku hizi sijaisikia tena. Juzi nikiwa maporini kwa mihangaiko nilikutana na mzee mmoja akaniomba nimtafutie mteja wa sarafu za mwaka 22 za cent moja. Kwa kuwa siku hizi nimejitenga na biashara za mjini sijui pa kuanzia ili kumsaidia.Yeyote mwenye kujua mteja au soko tafadhari anifahamishe.
 
hizo sarafu huwa zinatumiwa na waganga hakuna kitu hapo, kuna watu huwa wanazitafuta na kupeleka kwa waganga nazani huwa wanaambiwa wapeleke hizo sarafu
 
wanpeleka kwa waganga alaf wanazifanyia nn?? hela ambayo imeshapita muda wake !!!
 
huo ni wehu tu watu waliyeyusha vihela vyao na haakupata chochote, mm ninazo zile centi 5 za samaki aje achukue
 
Back
Top Bottom