Biashara ya sato waliokaangwa kutoka Mwanza to Dodoma

KICHWA BOX

Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
21
Reaction score
0
Habari wakuu wa hili jukwaa,

Nina capital ya laki tano mbali na usafiri (Mwanza-Dodoma) malazi na and dharura nahitaji kufanya biashara ya sato waliokaangwa kutoa mwanza kupeleka Dodoma sina mtaji mkubwa wa kuhandle cost za freezer na frame ndiyo maana nafikiria kuuza hao Sato waliokwisha kaangwa.

Naomba ushauri wenu juu ya masoko kwa maeneo ya Dodoma,changamoto za biashara hii pia kama ntapatata order ya mtu au hotel ntafurahi pia. Jiskie huru katika kusema lolote lile ili mradi liwe katika kujenga.

Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…