Biashara ya sauna

Biashara ya sauna

Naomba kuuliza lengo la sauna ni nini hasa au faida zake ni zipi katika mwili wa binadamu naonaga kwenye tv tuu lakini sijui
 
Nataka nifungue sauna , kwa mjuvi wa mambo naomba anipe vifaa vitakavohitajika pamoja na gharama zake
Unataka sauna ya aina gani? Ya umeme au ya kuni? Kiuas au kile kifaa cha kutengeneza joto ndo muhimu, bei zake inategemea.

Ukipata ya mchina inaweza ikawa bei rahisi ila siyo imara, kama uko serious, tafuta used kutoka Finland zinaitwa Kiuas (kwa Kifini) ingia www.tori.fi uangalie bei za used. Watu binafsi wanaziuza and I can promise you, they are original than the Chinese.
 
Back
Top Bottom