Biashara ya “Second hand Phones” kutoka Dubai / Europe

Biashara ya “Second hand Phones” kutoka Dubai / Europe

NjavikeSoftcom

New Member
Joined
Apr 16, 2023
Posts
4
Reaction score
1
Habari wakuu,

Najaribu kutafuta biashara salama ya kufanya ambayo itanipa Mzunguko Mzuri.

Nimefikiria kuhusu biashara ya used simu kutoka Dubai / Europe , changamoto ni sina experience na sijui naanzia Wapi .

Nahitaji Msaada kujua soko likoje na upatikanaji wa bidhaa zake !

Au kama kuna mapendekezo ya biashara salama na nzuri zaidi napokea mapendekezo..

Asanteni.
 
Bznes bila mtaji!! Njooni mtoe Elimu hapa wadau
 
Back
Top Bottom