Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje?

Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje?

niko interested, niko dodoma, mkuu ukipata soko tupeane pande manake soko la dar ni kubwa, mm nachanganya na dona, mahindi yanapetwa siyo lile la dar wanasaga na vumbi
 
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.

Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa kuanza Kaz gharama frame, kufunga kuanza kazi
Sas nilikuwa natak hiki kiwanda nikiwekee dar Ila sas cjajua soko lipo vp changamoto za huo mkoa kuhusu hii biashara ipo vp, wapi patakuwa sehem nzuri kuzifunga ambapo wateja watafika kirahisi.

Naombeni ushauri na maoni juu ya hii biashara kwa mkoa wa Dar ipoje kwa anaefahamu atakuwa amenisaidia Sana.

NOTE: ZINA UWEZO WA KUHUDUMIA WATEJA WOTEWOTE JUMLA NA REJAREJA
Sembe inalipa sana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niko interested, niko dodoma, mkuu ukipata soko tupeane pande manake soko la dar ni kubwa, mm nachanganya na dona, mahindi yanapetwa siyo lile la dar wanasaga na vumbi
Saw kiongoz
 
Ok saw Ila hakutakuwa na shida kweny kupata wateja maana wateja weng wanaenda sehem ambayo wanauhakik wa kupata mzgo kwa mbagala wateja wanaweza kunifamu kirahis
Ukifanya kama nilivyokuelekeza haya maswali yako yote yataisha. Hata uzalishe Tani 5 za unga Kwa siku ukijitangaza vizuri Kwa Mbagala hazitoshi, kumbuka asilimia kubwa ya watu wa uchumi wa chini na kati chakula Chao kikubwa ni ugali.
 
Sawa kiongoz
 
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.

Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa kuanza Kaz gharama frame, kufunga kuanza kazi
Sas nilikuwa natak hiki kiwanda nikiwekee dar Ila sas cjajua soko lipo vp changamoto za huo mkoa kuhusu hii biashara ipo vp, wapi patakuwa sehem nzuri kuzifunga ambapo wateja watafika kirahisi.

Naombeni ushauri na maoni juu ya hii biashara kwa mkoa wa Dar ipoje kwa anaefahamu atakuwa amenisaidia Sana.

NOTE: ZINA UWEZO WA KUHUDUMIA WATEJA WOTEWOTE JUMLA NA REJAREJA
Haya mdogo wangu kama huja pata sehemu sahihi kwa dar basi njoo nikuoneshe sehemu sahihi, na uanze hio biashara kuhusu Pumba nitakufanyia mpango wapi pa kuuza na hata wafanyakazi wa ofisi ukiwa huna, mi nitakuwa nao wa kukupatia, ila uwe tayari na mimi niwe naleta mzigo wangu nasaga kwa gharama zangu.

Suala kodi tutakuwa tuna changia kulipa
 
Share sehem kamanda kuna wengi tuna idea hiyo hatujui pa kuanzia
 
Haya mdogo wangu kama huja pata sehemu sahihi kwa dar basi njoo nikuoneshe sehemu sahihi, na uanze hio biashara kuhusu Pumba nitakufanyia mpango wapi pa kuuza na hata wafanyakazi wa ofisi ukiwa huna, mi nitakuwa nao wa kukupatia, ila uwe tayari na mimi niwe naleta mzigo wangu nasaga kwa gharama zangu.

Suala kodi tutakuwa tuna changia kulipa
BADO CJAPATA INGEKUWA VIZURI UNGEWEKA TU WAZI NIKAJUA NAANZIA WAPI
 
Upo sahihi mkuu, ila sehemu zote hapo ulizozitaja ukizijumlisha bado population yake haifikii watu wa Mbagala. Mbagala ni zaidi ya wilaya 3 za Dar, sielewi kwanini mpaka leo haijatangazwa kuwa wilaya. Mbagala Ina watu wengi zaidi ya mkoa wa Simiyu, Katavi na Njombe Kwa pamoja.
Hii uongo
 
Fanya mpango ufike sehemu moja inaitwa Mbagala, tenga nauli na ela ya lodge ya wiki nzima. Hiyo population utakayokutana nayo Zakhiem ndo utaelewa kwanini nime suggest Mbagala. Makao makuu ya sembe Kwa Dar ni Manzese jirani na uwanja wa fisi, lakini anatakiwa mbunifu mmoja aanzishe chimbo jingine. Uwanja wa Mkapa huwa unajazwa na watu wa Mbagala na Temeke. Nadhani hapo umepata idea. Ukichemka niambie nikupe muongozo wapi pa kuanzia. Nitakupa details hapahapa Kwa manufaa ya wote.
Mkuu...mm mashine ninayo nilikua nataka kujua centre gan mpya naweza nkaiweka???
 
niko interested, niko dodoma, mkuu ukipata soko tupeane pande manake soko la dar ni kubwa, mm nachanganya na dona, mahindi yanapetwa siyo lile la dar wanasaga na vumbi
Mashine yako au ww unaenda kusaga na kupack kwa watu wengine?
 
Back
Top Bottom