Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje?

niko interested, niko dodoma, mkuu ukipata soko tupeane pande manake soko la dar ni kubwa, mm nachanganya na dona, mahindi yanapetwa siyo lile la dar wanasaga na vumbi
 
Sembe inalipa sana sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
niko interested, niko dodoma, mkuu ukipata soko tupeane pande manake soko la dar ni kubwa, mm nachanganya na dona, mahindi yanapetwa siyo lile la dar wanasaga na vumbi
Saw kiongoz
 
Ok saw Ila hakutakuwa na shida kweny kupata wateja maana wateja weng wanaenda sehem ambayo wanauhakik wa kupata mzgo kwa mbagala wateja wanaweza kunifamu kirahis
Ukifanya kama nilivyokuelekeza haya maswali yako yote yataisha. Hata uzalishe Tani 5 za unga Kwa siku ukijitangaza vizuri Kwa Mbagala hazitoshi, kumbuka asilimia kubwa ya watu wa uchumi wa chini na kati chakula Chao kikubwa ni ugali.
 
Sawa kiongoz
 
Haya mdogo wangu kama huja pata sehemu sahihi kwa dar basi njoo nikuoneshe sehemu sahihi, na uanze hio biashara kuhusu Pumba nitakufanyia mpango wapi pa kuuza na hata wafanyakazi wa ofisi ukiwa huna, mi nitakuwa nao wa kukupatia, ila uwe tayari na mimi niwe naleta mzigo wangu nasaga kwa gharama zangu.

Suala kodi tutakuwa tuna changia kulipa
 
Share sehem kamanda kuna wengi tuna idea hiyo hatujui pa kuanzia
 
BADO CJAPATA INGEKUWA VIZURI UNGEWEKA TU WAZI NIKAJUA NAANZIA WAPI
 
Hii uongo
 
Mkuu...mm mashine ninayo nilikua nataka kujua centre gan mpya naweza nkaiweka???
 
niko interested, niko dodoma, mkuu ukipata soko tupeane pande manake soko la dar ni kubwa, mm nachanganya na dona, mahindi yanapetwa siyo lile la dar wanasaga na vumbi
Mashine yako au ww unaenda kusaga na kupack kwa watu wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…