Kwani una budget gani,vinginevyo jipange kuhudumia kwa mfuko wako,maana wakati mwingne,mambo yanagoma,hasa pale hama hama ya watoto ikianzaHabari wapendwa wangu,
Nina mpango wa kuanzisha shule ya awali kuanzia miaka 2 mpaka 5 maeneo ya Tabata.. Naomba kufahamu changamoto, faida na mchanganuo wa gharama ya kufanya hii biashara..Mimi kwa sasa ni muajiriwa...Niko serious kama unajua huwezi kunishauri we pita tu...
Asanteni...
Fungua chuo cha nursery teachers,itakulipa zaidi ya shule ya watoto,tatizo ni ushindani uliopo wa hizo shule