Biashara ya shule ya awali

Biashara ya shule ya awali

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Habari wapendwa wangu,

Nina mpango wa kuanzisha shule ya awali kuanzia miaka 2 mpaka 5 maeneo ya Tabata.. Naomba kufahamu changamoto, faida na mchanganuo wa gharama ya kufanya hii biashara..Mimi kwa sasa ni muajiriwa...Niko serious kama unajua huwezi kunishauri we pita tu...

Asanteni...
 
Fungua chuo cha nursery teachers,itakulipa zaidi ya shule ya watoto,tatizo ni ushindani uliopo wa hizo shule
 
Kwani una budget gani,vinginevyo jipange kuhudumia kwa mfuko wako,maana wakati mwingne,mambo yanagoma,hasa pale hama hama ya watoto ikianza
 
Nategemea kuwa na budget ya 7mil naamini kwa kuanzia inatosha kabisa..
 
Fungua chuo cha nursery teachers,itakulipa zaidi ya shule ya watoto,tatizo ni ushindani uliopo wa hizo shule

Ndo mana nataka kujua changamaoto na faida tofauti tofauti zilizopo kwenye ili eneo then nifanye maamuzi ya maana ndo mana nahitaji mawazo yenu kwanza...
Asante kwa mawazo yako..
 
Back
Top Bottom