Biashara ya simu kariakoo

Biashara ya simu kariakoo

KIGOMA ONE

Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
35
Reaction score
12
Wadau kwa heshma na taadhima naombeni ushauri kuhusu biasha ya sim.

1.Nina mtaji wa 25,000,000 baada ya kulipia frem je naweza anza biashara ya kuuza sim reja reja na jumla?

2.Nini changamoto za biashara ya sim?

3.Wapi naweza pata mzigo kwa bei nzuri ili niweze pata faida?

4.kodi yake ya mapato na lessen ya biashara vita nigharim kiasi gani?

5.je niuze jumla au leja leja?

6.vipi kuhusu taratib za kwenda nje ya nchi kibiashara zipoje?..

Naomba kuwasilisha.
 
wadau wa hii biashara tunaomba mpite hapa mdondoshe mawazo yenu
 
Nicheck kwa namba hii 0715523866 kwa mahitaji ya mzigo wa simu kutoka nje kwa bei nafuu kabsa.karibu
 
kwa kuwa sisi wengine bado hatuja engage katika biashara hiyo ila tuna elimu ya bussiness, before u decided to establish any kind of bussiness vitu ulivyo hapo taja juu kama maswali ni muhimu kujua ila kikubwa hapo ni kujenga friendship na watu wenye maduka ya simu hapo eneo unalotaka kama watatu hivi,ili uone tufauti za bei za bidhaa zao na kwanini na hayo maswali mengine nadhani watakujibu. kichwakichwa unaweza kuingizwa town ni hayo tuuuh by raykidd
 
Amna mwenye moyo huo kumpa mwenendo Wa biashara huko eneo la biashara
 
mkuu jaribu. kutafuta waChina wa Kkoo, wanauza simu bei poa tu,
Uza jumla kuna watu wanatoka mkoani kuzifuata,
pia uza rejareja kwa wateja wa kawaida
 
mkuu jaribu. kutafuta waChina wa Kkoo, wanauza simu bei poa tu,
Uza jumla kuna watu wanatoka mkoani kuzifuata,
pia uza rejareja kwa wateja wa kawaida
Wapo sehemu gani nami nijongee nikamate frusa
 
Back
Top Bottom