KIGOMA ONE
Member
- Aug 19, 2013
- 35
- 12
Amna mwenye moyo huo kumpa mwenendo Wa biashara huko eneo la biasharakwa kuwa sisi wengine bado hatuja engage katika biashara hiyo ila tuna elimu ya bussiness, before u decided to establish any kind of bussiness vitu ulivyo hapo taja juu kama maswali ni muhimu kujua ila kikubwa hapo ni kujenga friendship na watu wenye maduka ya simu hapo eneo unalotaka kama watatu hivi,ili uone tufauti za bei za bidhaa zao na kwanini na hayo maswali mengine nadhani watakujibu. kichwakichwa unaweza kuingizwa town ni hayo tuuuh by raykidd
Teh teh teh mkuu umeelewa alichokiomba mtoa post?Nicheck kwa namba hii 0715523866 kwa mahitaji ya mzigo wa simu kutoka nje kwa bei nafuu kabsa.karibu
Wapo sehemu gani nami nijongee nikamate frusamkuu jaribu. kutafuta waChina wa Kkoo, wanauza simu bei poa tu,
Uza jumla kuna watu wanatoka mkoani kuzifuata,
pia uza rejareja kwa wateja wa kawaida