Habari za humu ndani washika dau wenzangu.ebana nataka kufanya biashara ya kuuza accessories za simu na laptop
Je ni kweli zinalipaaa lakini na napenda kuifahamu biashara hii kiujumla inapoanzia
Nenda Alibaba wana pc nzur na bei rahisi.. ila mzigo unatakiwa uchukue wa kutoshaNaona kwa bei hizi nilete used zenye ubora CONTROLA
Usijali Mkuu, Sisi Pia Tulipita Huko Tulikutana Na Watu Sana Roho Nzuri Wakatupa Mbinu Na Sisi Lazima Tutoe BureMtwara Smart,
Dah nyie ndo manabii msioandikwa vitabuni. Una roho ya kizungu sana. Akifanyia kazi huu ushauri namuona hatua nyingine asee. Ungekua unagombea uenyekiti ningejitolea kukufanyia kampeni
asante kwa ushauriNenda Alibaba wana pc nzur na bei rahisi.. ila mzigo unatakiwa uchukue wa kutosha
naenda mwenyewe na malengo ni jumla natarajia mwezi wa kwanza au.wa 12 mwishoniUnataka uende mwenyewe china au umeshapata seller ? na kama umepata seller je shipping agent anayefanya safari zake kati ya china na tz umeshampata?
inshaallaha asante kwa ushauri nitaufanyia kazi na nitaleta mrejesho apaHii Biashara Ni Nzuri Sana, Ila Nakushauri Binti
1.Fanya Affiliation (Tafuta Mafundi Wa PC Wengi Uwezavyo Waambie Akikuletea Mteja Ana 10% Take)
2. Usiuze PC Tu Uza Na Vifaa Vyake Mfano: (Hard Drive, Screen 15.6 Wide, Charger Na Battery Zinalipa Sana)
3. Nunua Laptop Kali Ila Zenye Specification Ndogo Mfano RAM 2GB HDD 250GB, Ukija Huku Unafanya Kubadili Unaweka Mpak GB500 Hiyo 250 Unauza Kama Spare.
4. Tafuta Label Na Stickers Zenye Specification Za PC Mfano: Sticker Za i5, i3 Na AMD Hizi Zinapendezesha PC.
5. Unganisha Na Vitu Vingine Mfano: Unauza PC Unaweka Na Bag Lake La Mgongoni Na Mouse Au Flash Au Modern Unajifanya Unatoa Free Yaan Nunua Laptop Upate Modern Na Flash Na Bag Bure, But Gharama Zote Ushazijumlisha Humor.
6. Tafuta AC Instagram Na Tafuta Mtu Awe Ana I Promote Na Kukutengenezea Ads.
7. Mtangulize Mungu Kila Sikh.
Goodluck
Mungu gani? Wa kweli au masanamuHii Biashara Ni Nzuri Sana, Ila Nakushauri Binti
1.Fanya Affiliation (Tafuta Mafundi Wa PC Wengi Uwezavyo Waambie Akikuletea Mteja Ana 10% Take)
2. Usiuze PC Tu Uza Na Vifaa Vyake Mfano: (Hard Drive, Screen 15.6 Wide, Charger Na Battery Zinalipa Sana)
3. Nunua Laptop Kali Ila Zenye Specification Ndogo Mfano RAM 2GB HDD 250GB, Ukija Huku Unafanya Kubadili Unaweka Mpak GB500 Hiyo 250 Unauza Kama Spare.
4. Tafuta Label Na Stickers Zenye Specification Za PC Mfano: Sticker Za i5, i3 Na AMD Hizi Zinapendezesha PC.
5. Unganisha Na Vitu Vingine Mfano: Unauza PC Unaweka Na Bag Lake La Mgongoni Na Mouse Au Flash Au Modern Unajifanya Unatoa Free Yaan Nunua Laptop Upate Modern Na Flash Na Bag Bure, But Gharama Zote Ushazijumlisha Humor.
6. Tafuta AC Instagram Na Tafuta Mtu Awe Ana I Promote Na Kukutengenezea Ads.
7. Mtangulize Mungu Kila Sikh.
Goodluck
yaani mie mpaka najiulizaga wema kumbe bado wapoMtwara Smart,
Dah nyie ndo manabii msioandikwa vitabuni. Una roho ya kizungu sana. Akifanyia kazi huu ushauri namuona hatua nyingine asee. Ungekua unagombea uenyekiti ningejitolea kukufanyia kampeni
big upUsijali Mkuu, Sisi Pia Tulipita Huko Tulikutana Na Watu Sana Roho Nzuri Wakatupa Mbinu Na Sisi Lazima Tutoe Bure
Kwa mimi naona yeyote tuu utakae MchaguaMungu gani? Wa kweli au masanamu