Biashara ya Simu na Laptop na changamoto zake

Habari wapendwa nataka nifanye biashara ya simu na laptop nichukue China nilete hapa Tanzania. Kwa wale wazoefu nahitaji kujua soko na changamoto zake na aina ipi inapendwa sana na details zake.
 
Kwa kuwa ni biashara, hapo kwenye laptop leta ambazo utaziuza bei 200 - 300k (sijui huko utanunuaje). Bei chezea hapo wateja utawapata wengi tu wapenda vya bei rahisi.

Usilete za ubora mkubwa zitakuja kuisha kwa shida mno. Muhimu hakikisha kampuni za hizo laptop ziwe ni hizi common HP na Dell.
 
Hongera bint shomvi,umesonga mbele kweli,mara uletapo mzigo,mimi utaniuzia kwa wholesale prices au kama utahitaji sales point utaipata kariakoo..lete zenye core i3,i5,i7. tu. utaniuzia kwa laki tatu tatu quickly pieces 20.lete hata leo hii.pls inbox.
 
Unataka uende mwenyewe china au umeshapata seller ? na kama umepata seller je shipping agent anayefanya safari zake kati ya china na tz umeshampata?
 
Hii Biashara Ni Nzuri Sana, Ila Nakushauri Binti

1.Fanya Affiliation (Tafuta Mafundi Wa PC Wengi Uwezavyo Waambie Akikuletea Mteja Ana 10% Take)

2. Usiuze PC Tu Uza Na Vifaa Vyake Mfano: (Hard Drive, Screen 15.6 Wide, Charger Na Battery Zinalipa Sana)

3. Nunua Laptop Kali Ila Zenye Specification Ndogo Mfano RAM 2GB HDD 250GB, Ukija Huku Unafanya Kubadili Unaweka Mpak GB500 Hiyo 250 Unauza Kama Spare.

4. Tafuta Label Na Stickers Zenye Specification Za PC Mfano: Sticker Za i5, i3 Na AMD Hizi Zinapendezesha PC.

5. Unganisha Na Vitu Vingine Mfano: Unauza PC Unaweka Na Bag Lake La Mgongoni Na Mouse Au Flash Au Modern Unajifanya Unatoa Free Yaan Nunua Laptop Upate Modern Na Flash Na Bag Bure, But Gharama Zote Ushazijumlisha Humor.

6. Tafuta AC Instagram Na Tafuta Mtu Awe Ana I Promote Na Kukutengenezea Ads.

7. Mtangulize Mungu Kila Sikh.

Goodluck
 
Mtwara Smart,
Dah nyie ndo manabii msioandikwa vitabuni. Una roho ya kizungu sana. Akifanyia kazi huu ushauri namuona hatua nyingine asee. Ungekua unagombea uenyekiti ningejitolea kukufanyia kampeni
Usijali Mkuu, Sisi Pia Tulipita Huko Tulikutana Na Watu Sana Roho Nzuri Wakatupa Mbinu Na Sisi Lazima Tutoe Bure
 
Unataka uende mwenyewe china au umeshapata seller ? na kama umepata seller je shipping agent anayefanya safari zake kati ya china na tz umeshampata?
naenda mwenyewe na malengo ni jumla natarajia mwezi wa kwanza au.wa 12 mwishoni
 
Hii Biashara Ni Nzuri Sana, Ila Nakushauri Binti

1.Fanya Affiliation (Tafuta Mafundi Wa PC Wengi Uwezavyo Waambie Akikuletea Mteja Ana 10% Take)

2. Usiuze PC Tu Uza Na Vifaa Vyake Mfano: (Hard Drive, Screen 15.6 Wide, Charger Na Battery Zinalipa Sana)

3. Nunua Laptop Kali Ila Zenye Specification Ndogo Mfano RAM 2GB HDD 250GB, Ukija Huku Unafanya Kubadili Unaweka Mpak GB500 Hiyo 250 Unauza Kama Spare.

4. Tafuta Label Na Stickers Zenye Specification Za PC Mfano: Sticker Za i5, i3 Na AMD Hizi Zinapendezesha PC.

5. Unganisha Na Vitu Vingine Mfano: Unauza PC Unaweka Na Bag Lake La Mgongoni Na Mouse Au Flash Au Modern Unajifanya Unatoa Free Yaan Nunua Laptop Upate Modern Na Flash Na Bag Bure, But Gharama Zote Ushazijumlisha Humor.

6. Tafuta AC Instagram Na Tafuta Mtu Awe Ana I Promote Na Kukutengenezea Ads.

7. Mtangulize Mungu Kila Sikh.

Goodluck
inshaallaha asante kwa ushauri nitaufanyia kazi na nitaleta mrejesho apa
 
Mungu gani? Wa kweli au masanamu
 
Back
Top Bottom