Biashara ya simu used kutoka Dubai

Mrage Hemedi

Member
Joined
May 8, 2019
Posts
13
Reaction score
7
Habari Ndugu Zangu

Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo.

1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai

2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji)

3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
 
Neenda Chinese plaza utapata mzigo na njia sahihi ya hiyo biashara.
 
Ukipata details nitag mkuu soon nalaunch duka makumbusho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…