biashara ya soko la mtandao

Osama

Member
Joined
May 3, 2011
Posts
61
Reaction score
10
jamani hii biashara ni biashara ya maajabu watu maarufu duniani wameirecomend hii biashara kwa maana ndio biashara pekee inayosemekana kuzalisha mamilionea wengi duniani kufikia 2015.kuna professor anaitwa Paul Zane Pilzzer ambaye ni mshauri wa kiuchumi wa rais wa marekani,canada na france amei rrecomend hii biashara.biashara hii inawawezesha watu wenye vipato vya chini kujikwamua na kuwa na maisha bora,waajiriwa wengi wanakufa masikini kila mwaka lakini hii biashara itakuwezesha wewe kuwa na uhakika hata wa vuzazi utakavyoviacha pindi unaondoka duniani.napenda kuwatia moyo watanzania wenzangu hebu tupambane tuifanye hii biashara serious hakuna atakaebaki analia njaa jamani.
 
Post yako ingependeza sana kama ingejibu: How, what, where, why and when?
 
Post yako ingependeza sana kama ingejibu: How, what, where, why and when?

Ok Payuka my friend kuna makampuni mengi yanayotumia mfumo huu wa soko la mtandao ila cha kukushauri kama unahitaji kuifahamu vzr hii biashara soma vitzbu mbalimbali vinavyoelezea biashara ya mtandao kama rich dad poor dad,the business of 21st century,why we want you to be rich na vingine vingi.hapa tanzania kuna makampuni hayo pia yapo yanayofanya vizuri na ambayo yanajikongoja ili kufahamu ni kampuni gani ujiunge nayo itabidi ujue wasifu wa kampuni nzuri kwanza iwe debt free company,quality products,effective operating system na vinginevyo its very wide my brother!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…