Biashara ya spare za magari Dar es salaam

Naombeni msaada Mwenye list za spea za piki piki naomba jamani nataka nikafungue baishara za spea
 
mkuu nataka nianze tyres za magari,rims, spring,vioo,taa, na rangi,
 
Kama unataka kuanza biashara Uliza ni vitu gani vinatoka Mara kwa mara ndo uanze navyo wakati unausoma mchezo then utakua unaongeza kadri unavyouza na wateja wanavyouliza

zaidi nipo hapa kuibia na Mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…