Sawa ' vipi mnaendeleaje hapo uingereza?Neno "STATIONARY" lisichukue nafasi ya "STATIONERY" yana maana tofauti kabisa ....... lililo sahihi kutumika hapo ni STATIONERY .......
Ushauri mdogo tu kwa ndugu zako hapo juu
Hilo ndo tatizo la watanzania walo wengi .... matumizi ya lugha yoyote ya kigeni hasa English huchukuliwa kama ULIMBUKENI ama MARINGO .... Ni lini tutabadiri huo mtazamo?Sawa ' vipi mnaendeleaje hapo uingereza?