thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Kampuni ya zutaLab iliyopo mjini Jerusalem nchini Israel imetengeneza printa ndogo mfano wa kitenesi ambayo haitaji kukaa tu ofisini kwa maana mmiliki wa hiyo printa anaweza kutembea nayo popote, printa hiyo inaweza fanya kazi kwenye simu za android, iphone, windows na inaweza kuunganishwa kwa wireless.
Angalia jinsi inayofanya kazi
Angalia jinsi inayofanya kazi