Biashara ya studio

Biashara ya studio

Joined
Sep 13, 2013
Posts
20
Reaction score
22
Mimi ni mkazi wa Dodoma mjini,nina camera cannon mark 3 nina kamtaji kadogo ninataka kufungua kabiashara kadogo ka studio.

Ni vifaa vipi vichache vya muhimu naweza kuanza navyo au kama kuna mtu anauza used naweza kuelekezwa kwa ajili ya kubana bajeti. Cont. Call/whatsapp +255 743 796 975
 
Safi Mkuu.

Embu lianzishe nije kula ujuzi kwako.

Niko na mark II kipindi nipo Dom niliwahi kuwa na wazo hili.
 
Back
Top Bottom