Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara (Binafsi nisingekubali hata kwa Bunduki)
Ikiwa kama uzalishaji wa sukari umeshindikana kwa sababu zozote zile ambazo si za Wazalishaji , kwanini serikali iwaangushie jumba bovu Wafanyabiashara ambao hawahusiki na sababu ambazo serikali ilizisema ?
Hapa iko namna , lakini tutaijua tu .