SERIKALI YANGU NA CCM MKUBALI TU MAMBO YAMEWASHINDA! HII NI AIBU KWA TAIFA HILI LENYE ASALI NA MTINDI KWA WINGI.Wafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara (Binafsi nisingekubali hata kwa Bunduki)
Ikiwa kama uzalishaji wa sukari umeshindikana kwa sababu zozote zile ambazo si za Wazalishaji , kwanini serikali iwaangushie jumba bovu Wafanyabiashara ambao hawahusiki na sababu ambazo serikali ilizisema ?
Hapa iko namna , lakini tutaijua tu .
View attachment 2912795
HIVI INAWEZEKANAJE KIONGOZI/MFANYAKAZI ANAENDA KAZINI AKILI YAKE IKO KWENYE KUIBA TUU!
TUNAZO VIWQNDA YA KUZILISHA SUKARI NAMBA 1 NI TPC MOSHI. BINAFSI NIMEFANYA KAZI PALE HADI KUSTAAFU NAIJUA BILA UBISHI LEO.ETI WATANZANIA WANAUZIWA SUKARI ELFU 6.
NA BADO ZIKO VIWANDA NYINGINEZO.
HEBU KUWENI NA AIBU! KWENYE UMEME VIVYO HIVYO! MAJI NDIO WALA USISEME.
NA BADO.MNAPOKEA MISHAHARA! NONE SENCE!!.