Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mimi naipinga serikali mara zoteSukari imepanda mkawa mnakosoa serikali na kujifanya watetezi wa wananchi! Serikali inachukua hatua mnaanza kutetea wafanyabiashara wahuni
Mbona inaonekana na kusemekana hii serikali ya Samia unaikubali?Mimi naipinga serikali mara zote
Mimi ni Mfanyabiashara wa kimataifa , namiliki kiwanda Mbozi Road , nafahamu madhara ya mgawo wa umeme , nawezaje kuunga mkono Hangaya ?Mbona inaonekana na kusemekana hii serikali ya samia unaikubali?
Kwani Bashe siyo mwanasiasa ?Uzi wako kamanda ni wa kisiasa,ileile style ya siasa za kwenda na upepo wa matukio.
Sio kwamba demokrasia inatosha tumuachie samia kazi ziendeleeMimi ni Mfanyabiashara wa kimataifa , namiliki kiwanda Mbozi Road , nafahamu madhara ya mgawo wa umeme , nawezaje kuunga mkono Hangaya ?
Hatua iwachukulie mabwanyenye yenye viwanda, hizi zote ni Siasa za kiafrika na wewe ukoloni mambo Leo umekufanya ukose kujitambua. Hivi unawajua wenye viwanda vya sukari??? Au wenye wako katika out grower schemes??? Serikali inalinda mabwanyenye kwa kafara ya wachuuzi tu, we kada akili hizi huna wewe ni kudumisha fikra za viongozi wako tuSukari imepanda mkawa mnakosoa serikali na kujifanya watetezi wa wananchi! Serikali inachukua hatua mnaanza kutetea wafanyabiashara wahuni.
Sasa nyinyi ChaDema mnasimama wapi?.....au shida ni kutafuta umaarufu?
Bashe keshaonyesha njia ya kutatua tatizo.Kwani Bashe siyo mwanasiasa ?
Kwanini Sukari isiuzwe kama simu za Android, apple etc.. zinavyouzwa maana kwa sasa hadi Simu za Mkopo.zipo unachagua tu. Huu urasimu ufikie kikomo.Wafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara (Binafsi nisingekubali hata kwa Bunduki)
Ikiwa kama uzalishaji wa sukari umeshindikana kwa sababu zozote zile ambazo si za Wazalishaji , kwanini serikali iwaangushie jumba bovu Wafanyabiashara ambao hawahusiki na sababu ambazo serikali ilizisema ?
Hapa iko namna , lakini tutaijua tu .
View attachment 2912795
Imekuwa kama madawa haramuWafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara (Binafsi nisingekubali hata kwa Bunduki)
Ikiwa kama uzalishaji wa sukari umeshindikana kwa sababu zozote zile ambazo si za Wazalishaji , kwanini serikali iwaangushie jumba bovu Wafanyabiashara ambao hawahusiki na sababu ambazo serikali ilizisema ?
Hapa iko namna , lakini tutaijua tu .
View attachment 2912795
Mimi ni Mfanyabiashara wa kimataifa , namiliki kiwanda Mbozi Road , nafahamu madhara ya mgawo wa umeme , nawezaje kuunga mkono Hangaya ?
Unafahamu SUKITA ?Bashe keshaonyesha njia ya kutatua tatizo.
kuna kamanda humu alileta uzi wa namna ya kutatua tatizo sukari, nimefurahi Bashe kapokea ushauri wa kamanda na anataka kuufanyia kazi.
lakini wewe unaanza zengwe kuwatetea Big boys,wamekupa shilingi ngapi kamanda?
Kwenye mgawo wa umeme hakuna maendeleo ya watu wala ya vituMkuu unataka maendeleo ya vitu au watu ?
Ukiona hivyo Mbowe anahusika, Chadema wafuasi kama wa KIBWETELESukari imepanda mkawa mnakosoa serikali na kujifanya watetezi wa wananchi! Serikali inachukua hatua mnaanza kutetea wafanyabiashara wahuni.
Sasa nyinyi ChaDema mnasimama wapi?.....au shida ni kutafuta umaarufu?
Hongera sanaMm nauza sukari lkn jina langu kamwe sitalipeleka kwa RC.