Biashara ya sukari mafuta na betrii

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Habari wana Jf

Nimekuwa na malengo ya muda mrefu nahitaji kuanzisha biashara ya kusapray bidhaa kwenye maduka ya rejareja


Bidhaa kama mafuta ya kura, sukuri, na betri

Hizi biashara nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa nakuona zindimand kubwa ya soko kwasababu biashara hizi Gavament wanazitolea sana macho hali hii imewafanya wenye maduka kuzipata kwa tabu na kusababisha soko lake kuwa kubwa

Kama unadate za baishara hii naomba unipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…