Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Serikali haijashinda vita na wafanyabishara toka mzee Magufuli aingie ulingoni. Korosho alipigwa vibaya sana. Mpaka leo serikali inadaiwa.
Pambano la sukari nalo limefikia pabaya sana tuna viwanda vingi sana hapa ndani na bado sukari haitoshi kuagiza nje bado tatizo.
Sasa sukari haipatikani iwe ya ndani au ya nje wenye nayo unauziwa kama unajulikana tu(kama madawa). Raia wanalia wanatamani kununua hata kwa 4000.
Hii ni baada ya serikali kuingilia bei na kupanga ya kwao huku wakijua haipatikani kwa sasa.
Swali langu: Je, viwanda vyetu sasa vinatengeneza nini?