Wewe upo eneo gani mana huku Mbagala kote hakuna kabisaMaduka ya jumla wanakwambia ukitaka 100 Kg lazima ununue na mafuta au viberiti au kitu chochote ambacho wanacho wanaona mzunguko wake ni mdogo...
Wapi huko?Kwetu sukari mbona ni 2,800/= per kg.
Kuna jamaa angu yupo Mbagala jana kutwa nzima anahangaika kutafuta sukari hamna kabisa.Ww upo eneo gani mana huku Mbagala kote hakuna kabisa
Nipo Mwanza bossWapi huko?
Hapa hapa DSM kuna sehem sukari wanauza 2,800 ila inabidi ujifanye kama mpelelezi hivi maana wanakutingisha kwa 4,000 kwanzaWapi huko?
Kiroba cha 50kg bei ni 150,000/=Hapa hapa dsm kuna sehem sukari wanauza 2,800 ila inabidi ujifanye kama mpelelezi hivi maana wanakutingisha kwa 4,000 kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba mtazamo wako hivi kweli watu weusi upeo wetu wa kufikiria upo Sawa maana matatizo yote ya Afrika ni Sawa ubinafsi wa viongozi wetu uliopitiliza eti sukari nchi imepata Uhuru karibu miaka 59 iliyopita bado kuna tatizo la sukari tu mie Shauri wangu bora kuomba Hawa mabwana wakubwa warudi tu maana tumeshindwa kila sehemu sie kazi zetu Uwalimu ukarani utawala hakuna hakuna mtu mweusi mwenye uwezo wa kutawala hakuna...Haya yalikuwa maisha ya enzi za Chama kushuka hatamu
Tunarudi tulikotoka kwa speed ya jetHaya yalikuwa maisha ya enzi za Chama kushuka hatamu